RAIS WA ROMANIA AWASILI KENYA KWA ZIARA YA SIKU TATU
Rais wa Romania Klaus Werner Iohannis awasili nchini Kenya, kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu. Kuwasili kwake hapa nchini Jumatatu jioni, ni sehemu ya ziara yake ya mataifa manne barani Afrika. Kulingana na afisi ya Rais wa Romania, Rais Iohannis anatarajiwa kuzuru Kenya, Tanzania, Cape Verde na Senegal kati ya tarehe 14 na 23…