Rais Ruto Amuomboleza Mume wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
BY JOEL ESABU Nairobi, Kenya — Rais wa Kenya William Ruto ametuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kufuatia kifo cha mumewe, Hafidh Ameir Hassan. Katika ujumbe wake wa maombolezo, Rais Ruto amesema amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo hicho na kuwasilisha pole kwa Rais…



