WATU ZAIDI YA MILIONI MBILI WAMEATHIRIKA KWA MAFURIKO KUTOKANA NA MVUA KUBWA INAYONYESHA NCHINI SOMALIA HUKU MAMIA WAKIANGAMIA

Kufikia jana Alhamisi, watu 100 waliripotiwa kufariki kutokana na mafuriko huku maelfu ya nyumba zikisombwa au kufunikwa kwa maji ya mafuriko. Serikali ya Somalia ilitangaza mafuriko kuwa janga la kitaifa mapema mwezi huu. Mataifa mengi ya upembe wa Afrika yameshudia mafuriko tangu mwezi Oktoba mwaka huu kutokana na mvua kubwa. Nchini Kenya, mvua kubwa inanyesha…

MARAIS WA NCHI NA WAWAKILISHI WA VIONGOZI WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WALIKUTANA ALHAMISI JIJINI ARUSHA, TANZANIA KWA MKUTANO WA 23 KUHUSU MABADILIKO YA TABIA NCHI NA USALAMA WA CHAKULA

Kikao hicho kilijadili njia za kutafuta majawabu dhidi ya athari za mabadiliko ya tabia nchi katika upatikanaji wa chakula yanayohusu moja kwa moja uhai wa nchi za Afrika Mashariki, watu, maendeleo na ustawi katika siku za usoni. Rais William Ruto alisistiza kuwa uhifadhi wa mazingira ni swala nyeti Afrika Mashariki na akaahidi kushikiniza kusainiwa kwa…

MASUALA MANNE MUHIMU AMBAYO RUTO NA VIONGOZI WENGINE WA EAC WATAYAJADILI JIJINI ARUSHA LEO

Marais wote wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanakutana leo hii mjini Arusha, Tanzania.Katika mkutano huo,marais hao  wamepangwa kujadili msururu wa masuala  yanayohusu wananchi katika  maeneo mbalimbali. Baadhi ya maeneo yatakayozingatiwa sana ni kuhusu uchumi na kwa kiasi kikubwa ushirikiano baina ya mataifa. Mkutano huo ni Mkutano wa 23 wa Kawaida ya wakuu wa Nchi za…

RAIS WILLIAM RUTO AMESEMA KUWA SERIKALI YAKE ITABINAFSISHA MASHIRIKA 35 YA SERIKALI YALIYOKWAMA ILI KUYAFUFUA TENA NA KUONGEZA TIJA

Hatua hii inafuatia kupitishwa kwa sheria bungeni inayoruhusu ubinafsishaji wa mashirika ya serikali. Ubinafsishaji wa mashirika hayo ni mojawapo ya mapendekezo yaliyototolewa kwa serikali ya Kenya na Shirika la Kimataifa la Fedha, IMF kama njia moja ya kufufua uchumi uliodorora. Ili kunusuru uchumi wa nchi hii, IMF imetangaza kutoa mkopo wa dola bilioni 12 mwaka…