Gachagua Amtaka Rais Trump Kuteua Balozi Mpya

Kinara wa DCP Righathi Gachagwa sasa anamtaka Rais wa Marekani Donald Trump kufanya uteuzi wa balozi ambaye hana mapendeleo kwa utawala wa Rais Ruto. Gachagua akiwa katika mahojiano jijini Kansas,Amerika,anasema kuwa Rais Trump atasaidia pakubwa katika ukombozi wa taifa la Kenya iwapo atateua balozi ambaye hana mapendeleo. Kulingana na Gachagua Rais Trump anastahili kumtuma balozi…