Habari Za Spoti

WAKENYA DIANA CHEPKEMOI NA MERCY CHEPNGENO WALIIPEPERUSHA VYEMA BENDERA YA KENYA BAADA YA KUTWAA MEDALI ZA DHAHABU NA FEDHA MTAWALIA KATIKA FAINALI YA MBIO ZA MITA ELFU TATU KURUKA VIUNZI KWENYE MASHINDANO YA AFRICA ATHLETICS CHAMPIONSHIP HUKO ACCRA GHANA. KPL KATIKA SOKA, TIMU YA TAIFA YA KENYA HARAMBEE STARS LEO JUMANNE MEI KUMI NA TISA…

Maraga urges Parliament to convene immediately.

Former Chief Justice David Maraga has called on Parliament to reconvene urgently and approve measures to help Kenyans cope with the rising cost of fuel amid a nationwide transport strike. In a statement shared on X on Monday, Maraga expressed support for Kenyans affected by the shutdown, saying the government must act quickly to reduce…

Sekunde 9.98 Za Omanyala.

Tuanzie na riadha ambapo bingwa mara nne wa dunia katika mbio za mita elfu moja mia tano, Faith Kipyegon, ameanza msimu kwa kishindo baada ya kushinda mbio za mita elfi tano kwenye mashindano ya Diamond League yaliyofanyika mjini Shanghai, China. Kipyegon alitumia dakika 14 24.14 na kuweka muda bora zaidi duniani msimu huu katika mbio…

“THE KIBUYU DAY-ERICK OMONDI”

This Monday morning seemed to be unusual. Across social media platforms, from TikTok to Facebook and X, one phrase dominated conversations, “Kibuyu Day.” What started as an online slogan quickly turned into a national conversation about pain, anger, survival, and the growing frustration among ordinary Kenyans struggling to make ends meet. In Nairobi’s CBD, young…

Kuanza na hapa nyumbani transzoia County, klabu ya Kiminini Combined FC maarufu kama Bazuu Boys imeandika historia baada ya kutwaa ubingwa wa FKF Division One Zone C na rasmi kupanda daraja kwenda National Super League, NSL. Katika mchezo uliochezwa hapa juzi kwenye uwanja wa Eldoret Showground, Bazuu Boys waliibuka na ushindi wa mabao mawili kwa…