Rais Ruto Atangaza Agosti 27 kuwa Siku ya Katiba

  Nairobi, Jumatatu, Agosti 25, 2025 – Rais William Ruto ametangaza na kuitawaza tarehe 27 Agosti kuwa Siku ya Katiba, kumbukumbu ya siku ambayo katiba ya sasa ya Kenya ilizinduliwa mwaka 2010. Akilihutubia taifa asubuhi ya leo, Rais Ruto alisema maadhimisho hayo yataashiria miaka 15 tangu Kenya ilipopiga hatua muhimu katika safari yake ya kidemokrasia.…