KAMATI YA SENETI YATOZA GAVANA SAKAJA FAINI KUBW

Kukosekana kwa Gavana Johnson Sakaja wa Nairobi katika mikutano ya kamati ya Seneti kuhusu ukarabati wa mitaa ya zamani jijini limeibua mjadala mkubwa. Huku akitakiwa mara kadhaa kufika mbele ya kamati hiyo, Sakaja amekaidi maagizo hayo, hatua iliyosababisha kamati kumtoza faini ya shilingi 500,000. Kulingana na mwenyekiti wa kamati hiyo, Seneta Karungo Thangwa, Sakaja alialikwa…