WAZIRI WA ZAMANI MOSES KURIA AMSHANGAZA RAIS RUTO BAADA YA KUVUNJA KIMYA.
Waziri wa zamani wa Huduma za Umma nchini Kenya, Moses Kuria, amewashangaza wengi kwa kuvunja kimya na kuwahimiza vijana wa Gen Z kusitisha maandamano yao. 3-Point Summary Moses Kuria amewataka vijana wa Gen Z kusitisha maandamano yao na kuelekeza juhudi zao kuhakikisha wale waliopoteza maisha yao hawakufa bure. Kauli yake imepokelewa kwa maoni tofauti, huku…