UZEMBE WA POLISI KENYA WASABABISHA MZIGO KWA SERIKALI

Serikali imeamriwa kulipa fidia ya Sh496 milioni kwa wanafunzi waliojeruhiwa na wazazi waliopoteza watoto wao wapendwa wakati wa shambulio la kigaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa miaka tisa iliyopita. Mukhtasari Serikali imeamriwa kulipa fidia ya Sh496 milioni kwa wanafunzi na wazazi walioathirika na shambulio la kigaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa mnamo Aprili 2015. Mahakama…