BI SALAMA MASHA AELEZEA ALIVYONUSURIKA MAUTI NA WANAWE WATATU SHAKAHOLA MUMEWE AKISALIA “KUONANA NA YESU”

Mwanamke mmoja mkaazi wa Kilifi aliyenusurika kifo katika msitu wa Shakahola, Kaunti ya hiyo, amesimulia kilichojiri katika msitu huo ambao ndani yake zaidi ya wafuasi 400 wa mhubiri Paul Mackenzie waliangamia. Bi Salama Masha, anasema haikuwa rahisi kwake kukabiliana na changamoto alizopitia. Anaelezea “Kabla ya kuhamia msitu wa Shakahola kutoka Malindi, mhubiri mgeni Mzungu alialikwa…

RAIS WA ROMANIA AWASILI KENYA KWA ZIARA YA SIKU TATU

Rais wa Romania Klaus Werner Iohannis awasili nchini Kenya, kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu. Kuwasili kwake hapa nchini Jumatatu jioni, ni sehemu ya ziara yake ya mataifa manne barani Afrika. Kulingana na afisi ya Rais wa Romania, Rais Iohannis anatarajiwa kuzuru Kenya, Tanzania, Cape Verde na Senegal kati ya tarehe 14 na 23…

INUA JAMII CASH TRANSFER PROGRAM 2023 DISBURSED

The government has disbursed Sh2.8 billion for the Inua Jamii Cash transfer program for July 2023. An extra Sh4.3 million has additionally been released for the Nutrition Improvement through Cash and Health Education (NICHE) program, which complements the Inua Jamii initiative. Joseph Motari, the Principal Secretary of the State Department for Social Protection and Senior…