RAIS WILLIAM RUTO AMESEMA KUWA SERIKALI YAKE ITABINAFSISHA MASHIRIKA 35 YA SERIKALI YALIYOKWAMA ILI KUYAFUFUA TENA NA KUONGEZA TIJA
Hatua hii inafuatia kupitishwa kwa sheria bungeni inayoruhusu ubinafsishaji wa mashirika ya serikali. Ubinafsishaji wa mashirika hayo ni mojawapo ya mapendekezo yaliyototolewa kwa serikali ya Kenya na Shirika la Kimataifa la Fedha, IMF kama njia moja ya kufufua uchumi uliodorora. Ili kunusuru uchumi wa nchi hii, IMF imetangaza kutoa mkopo wa dola bilioni 12 mwaka…



