Kuanza na hapa nyumbani transzoia County, klabu ya Kiminini Combined FC maarufu kama Bazuu Boys imeandika historia baada ya kutwaa ubingwa wa FKF Division One Zone C na rasmi kupanda daraja kwenda National Super League, NSL. Katika mchezo uliochezwa hapa juzi kwenye uwanja wa Eldoret Showground, Bazuu Boys waliibuka na ushindi wa mabao mawili kwa…