Sekunde 9.98 Za Omanyala.

Tuanzie na riadha ambapo bingwa mara nne wa dunia katika mbio za mita elfu moja mia tano, Faith Kipyegon, ameanza msimu kwa kishindo baada ya kushinda mbio za mita elfi tano kwenye mashindano ya Diamond League yaliyofanyika mjini Shanghai, China. Kipyegon alitumia dakika 14 24.14 na kuweka muda bora zaidi duniani msimu huu katika mbio…

“THE KIBUYU DAY-ERICK OMONDI”

This Monday morning seemed to be unusual. Across social media platforms, from TikTok to Facebook and X, one phrase dominated conversations, “Kibuyu Day.” What started as an online slogan quickly turned into a national conversation about pain, anger, survival, and the growing frustration among ordinary Kenyans struggling to make ends meet. In Nairobi’s CBD, young…