WANAFUNZI 9 WA UTUMISHI GIRLS ACADEMY KUSHTAKIWA KWA MAUAJI YA WANAFUNZI 16
Wanafunzi tisa wa Shule ya Utumishi Girls Academy katika eneo la Gilgil, Kaunti ya Nakuru, wanatarajiwa kushtakiwa kwa makosa ya mauaji kufuatia mkasa wa moto ulioteketeza bweni la shule hiyo na kusababisha vifo vya wanafunzi 16. Hatua hiyo imekuja baada ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (ODPP) kupitia ushahidi wa awali uliowasilishwa na…
