MASUALA MANNE MUHIMU AMBAYO RUTO NA VIONGOZI WENGINE WA EAC WATAYAJADILI JIJINI ARUSHA LEO
Marais wote wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanakutana leo hii mjini Arusha, Tanzania.Katika mkutano huo,marais hao wamepangwa kujadili msururu wa masuala yanayohusu wananchi katika maeneo mbalimbali. Baadhi ya maeneo yatakayozingatiwa sana ni kuhusu uchumi na kwa kiasi kikubwa ushirikiano baina ya mataifa. Mkutano huo ni Mkutano wa 23 wa Kawaida ya wakuu wa Nchi za…