Mpango wa Inua Jamii Watoa Fedha kwa Ajili ya Malezi na Ustawi wa Watoto Nchini
Wizara ya Jinsia, Utamaduni na Huduma kwa Watoto imetenga Ksh. 1.78 bilioni kufanikisha malipo ya mpango wa Inua Jamii kwa yatima na watoto wanaoishi katika mazingira magumu kwa miezi ya Juni na Julai 2025. Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Idara ya Huduma kwa Watoto, Bi. Carren Ageng’o, kiasi hiki kitatumika kulipa marupurupu kwa watoto…



