KESI DIDHI YA JAJI MKUU MARTHA KOOME YA TUPILIWA MBALI
Kesi ya kuwatimua majaji sita akiwemo jaji mkuu Martha Koome imetupiliwa mbali na tume ya huduma za mahakama JSC kwa kutotimiza vigezo vya katiba. Aliye kuwa rais wa chama cha wanasheria nchini LSK Nelson Havi,Edwin Dande ambaye ni mwanabiashara,Victoria Naishorua na kampuni ya Benjoh Amalgamated and Muiri Coffee Estate,ndio walalamishi. Majaji walioponea hoja hiyo ya…

