Miili Mitano Yafukuliwa Katika Kijiji cha Kwa Binzaro, Kilifi
Kilifi, Kenya – Miili mitano imefukuliwa kutoka makaburi sita ya kina kifupi katika kijiji cha Kwa Binzaro, Kaunti ya Kilifi, kufuatia agizo la Mahakama. Operesheni hiyo inafanywa na maafisa wa upelelezi kutoka Kitengo cha Mauaji cha DCI wakishirikiana na wataalamu mbalimbali. Maafisa hao wamesema wanatarajia kufukua zaidi ya makaburi 20 yaliyoko katika kijiji na vichaka…